Sunday, January 13, 2013

Namshukuru mungu kwa kuona mwaka huu, Tazama kuna wengi ambao walitamani kuuona mwaka huu lakini wamefariki, sio kwamba wamefanya makosa ila ni huruma za Mungu tu. Tuendelee kumwomba Mungu na yeye atatusikia siku zote za maisha yetu
Amina